Barabara ya Nairobi Expressway itakamilika Machi
Barabara ya Nairobi Expressway itakamilika Machi 2022, karibu miezi mitatu mapema kuliko ilivyotarajiwa. Barabara hiyo ya mwendokasi ya kilomita 27 itaunganisha kusini na magharibi mwa Nairobi. Kazi katika Barabara ya Nairobi Expressway, ambayo kwa [...]